tuliza Mckende
:D:D:D:D:D:D:D… mtu akikataliwa ajipe shughuli. Weuh jamaa ako na machungu.
Siku hizi ma-youngins mko na maneno. Nimeona kengine kakisema eti nikuwe inspired by wimbo wa kunyoa mafudhi…
mbona watu wakikataliwa huwa wanaanza kuitana sura mbaya
Shots fired, man down, man down, I repeat; man down! He is bleeding badly. Think we losing him. Requesting evac asap.
:D:D:D:D jamaa anapeana sweep kwa wimbo
Mzito nisaidie na full clip ya hii,nimependa sana hizo vocals