[ATTACH=full]144581[/ATTACH]
@The.Black.Templar kwa haujawai jua Kermit the frog ni nani mbaka wa leo???
Next utasema wewe ndio the real black templar…
Faux pas at it’s best
Hehe inakaa niko nyuma ndugu…mistaken identity ama nini?
Chizi kapata wazo…
[ATTACH=full]144586[/ATTACH]
You don’t know Constantine, the evil Kermit?
napita tu
Btw i am the real black.templar…
Umepatikana leo :D:D
kuna mtu pia anatumia jina yangu huko sukambanga na ni mweusi ka kichochoro saa za usiku na ako na lips za pink kaa coomer
hii kijiji itakuja malisa mimi siku moja?