Tunaomba Jukwaa la Sheria!

kah tony

Village Elder
#22
Hahaha huwa nafurahia mlivyo wepesi wa kutoa povu hahaha!!
Unihitaji mie Dadako!!
unawezaje kumhitaji usie mjua!!
Lakini nikuulize swali. Kuna article nimesoma leo imesema shida kubwa ya kuanzisha biashara bongo ni kuwa hakuna human resource. Zungumzia Hilo tafadhali kisha urudi jamii forums waeleze huku wakenya balaa hawataki maneno ya Wabongo. Muungano wa Africa Mashariki mmekataa kuingia kwa hofu wakenya tutawakalia na kuingia katika sehemu zote.
 
Top