Tunoneshane mfuko

It’s been 4 months now tangu nionyeshwe mlango na employer, hii hekaya itakuja soon after nimeheal vizuri. Side hustle zimekwama karibu zote bana. Juzi juzi mixer imenyeshewa ikabidii nimewavia side hustle goodbye. So naona nikiendelea hivi, 2019 itakuwa tafash sana. Naona sasa nirudi back to my roots nianze place nilianzia before nijue pesa ni tamu. So msee anadai potatoes, minji, cabbages, beetroots, skuma, spinach…tuchape biz

Hutapata msee huku. Tembea kwa hotels. Kuwa proactive kizee. But utatoboa usikonde. Biz ya food especially Nai or any major town you never go wrong.

Sii ulikuwa unasema kampuni itaanguka ukitoka? Pambana na hali yako. On a serious note though, jaribu biz ya kibandaski ya chakula (chapo madondo, chai choma etc). You will never go wrong more so kwa vitongoji duni na ushikilie hapo ulipo pa veges. Respect and appreciate your struggle. It will pay off soon. Trust me. Have been to hell and back.

Pole buda. Tia bidii kabisa n u will make it. Some misfortunes are blessings in disguise.

Iza, vumilia tu. All shall be well just remember it’s darkest before dawn…

I feel you man. Uskonde

huku watu wanapeana morale …hiyo ni poa sana…

We are brothers and sisters here. Hata kama twapeana masweeps hapa na pale, we care for our own.

Uko nazo ama you are now preparing to supply them in 2019?

Unazikuza wapi?

Keep ya head up…better days lay ahead.

Nerver give up bro everything will be well so long as you keep the faith. I can feel you since last week my hustle ya kusupply clean H2O almost sunk. Dere (yeye ni meffi ×10) aliangusha truck ya clean H2O. I was told he was drunk!!. Repairing it has eated into my savings. Despite this we must fight and keep hope alive so that we live another day to tell the story

But

Be prepared to be paid 2 weeks plus in hotels, and a month plus in supermarkets

Usijali brathee. Hii life tunaipitia tu. Titles za job mtu huziwacha huko------>>>> akinyuria. Never regret anything…everything happens for a reason, some beyond your control.

Kazana na usife moyo…maziwa itajipa.

#Ferkkaziyamuindi & #Ferkidiadmefii

I always say that, never get angry coz you got fired. It’s tough but one day you’ll look back and be happy that you lost your job, when your business is doing so well!

Zipo brathe

Kinangop

Shukraan wana kijiji… everyone needs some encouragement

Kaza kamba mwendo ni mrefu

May God open you channels. Sometimes things go tough. It will take it’s time but it won’t last forever.