Tunukishe Kitungu

Nani anaweza kuwa ana Supply
Dishes, 60cm, coaxial cable 20m na LNB

Unaweza tuma quote ya 100 units Inbox tuelewane

@syndicate utawesa kweli

Dishes,which brand?ama haijalishi?

LNB,which brand? kuna ya between ksh 700 to 4000

@Giggz iko fearshara

@Motokubwa unaitwa

Unataka pcs ngapi ?

Tsk tsk … ati motokubwa, mujamaa wachaga jokes, sio dish ya tumbukiza inaitishwa hapa.

Soma hapo kwa etc
[ATTACH=full]224049[/ATTACH]

Hii ujack of all trades sisi hapana tambua hapa. Let him stick to mbiashara ya thufu