Tuseme ukweli, ukabila ya wakisii huwa ile conc, yaani pure

Ni vile tu they’re a relatively small tribe, that’s why they fly under the radar while we focus on Kikuyus and Kalenjins. There was this one time a kisii tycoon built some apartments in our neighborhood. It was a predominantly sapere location, but the contractor, all the mjengo guys, and suppliers were gwatu gwa matoke. Even the women who sold food to the mjengo guys, and the watchmen who guarded the place, were all kisiis. Mchana, amid ile kelele ya construction site, ulikuwa tu unaskia “gaaki, mogaka, yaaa, omong’ina” and other such words. Soprano kila mahali na karibu kila mtu ni mwanaume. One second unaskia ni kama wanagombana, alafu they burst out laughing kumbe ni story za ocha wanaambiana. I always used to wonder which hole so many mogakas crawled out of.

Sector ya miwa hii Nairobi wamei-lock tightly. Same structure. Jamaa mkisii analetewa miwa kanairo na mkisii mwenzake, all the wheelbarrow guys who zungusha the sugarcane around estates are also fellow kisiis. I think this is the only tribe that can achieve 100% tribalism in any sector they invade. These saperes and kalenjins, hata waki-make up 70% of the workforce, at least watatafuta mechanic jaruo, watchman mluhya, messenger mkamba and so on. Kisiis will fill all those positions with their tribesmen. Hawa wakipewa urais sijui itakuaje.

These observations have been triggered by a story kule buyer beware, where an official of ENA, a PSV and parcel delivery company is accused of slapping a lady customer who went to inquire why her parcel took so long. Uzuri (ama ubaya) ni ati it was Kisii-on-Kisii violence. Lakini kwa comments sekshen customers wa hiyo kampuni wameelezea vile ukiingia huko ni kama little Kisii. Nearly all employees have an attitude from here to Timbuktu. Na ukiuliza maswali ya fichinga fichinga kama “why is my parcel taking so long” unafunikwa kofi unarudishwa default settings.

[ATTACH=full]349630[/ATTACH]

Heneway, after a mini uproar on social media, company officials met Kemunto Nyakundi, the slapee, after which she agreed to forgive.
[ATTACH=full]349631[/ATTACH]

Kemunto akapewa mpaka free branded umbrella ya kupanguza machozi. Wewe!
[ATTACH=full]349633[/ATTACH]

Meanwhile, the person who administered the slap has allegedly been sent for retraining, whatever that means. Overall, it’s a happy ending for all parties. Lakini ndugu setu wakisii, gwacheni hasira! Gwacheni buana!

Nyoka Yaa Embere Eye

Egesaganeke

hatujawahi kuwa on the same side lakini hapa niko na wewe a 100 percent

Ukweli.

A few years ago pale kwa mache nakuru he had over 200 employees all kisiis…only non kisii was his kikuyu wife

Ukweli kabisa, huku mtaani kuna jamaa flani mkisii huwa na grocery shop, wakisii wote flock there hawawezi nunua kwa kibanda ingine. The good/bad thing ni majority of the kisii are generally slow and anti-progressive.

Hata kwa estate wakihamia huko wanaitana kijiji mzima ona Utawala,Rongai e.t.c na biashara ya matatu, mbao

Riruta satellite hakukaliki Saturday juu ya sda kusumbua. Wamechazana wote hio route ya 4W.

There is nothing wrong with Kisiis helping their fellow Kisiis. Kenyan is a tribal nation and that’s the truth.
If you go to KRA akina atireres are like 99% of the workforce.
Same with armed forces where Araps are dominant. Let Kisiis be!

That kemunto lady I Know her, she’s a good writer and so humble, you wouldn’t know she has a Dr. As her initial.

Back to wakisii, wao hua hivyo.kuna hospitali ya muhindi flani aliandika a kisii guy kwa managerial position, the guy later fired the existing staffs one after the other akareplace na kina omwenga.within 1yr hosy ilikua inakaa family business, from the watchman, to the cooks, to the accountant, to the doctors and nurses wote walikua relatives. Muhindi aliona siku ndefu

Utawala skuizi inaitwa Otawara

Am kisii cant lie but ive lived with other tribes more than i have worked with my tribesmen and i can tell you for free ukabila iko kila mahali. Mko meeting prayers zinafunguliwa na lugha yao, zile seminars fully paid makabila zinachaguana nyinyi mnangojea zile hakuna stipends. Wacha hao mogaka waunde pesa waite jirani zao. Hata mimi ill go down the same route from the queer experiences ive gone through.

Lakini SI mchafue Nairobi na hizo mavitu za migwa

True. Kenya is a sick and tribal nation. Singling out the Kisiis is just hypocrisy.

I love Kisii’s. Very hardworking. They have learnt how to co-exist with all tribes.
Kisii’s are like Visa Cards…accepted everywhere

Reminds me of that sweep of Gunia Wiki hii by @Introvert mahali @Eng’iti alikuwa anauza “migwa kopore kopore”…Yote tisa ukabila iko Kila mahali…when Obako was president top management ya KRA wote walikuwa wasapere… someone even joked that they hold their meetings in Kikuyu. Same thing na energy sector ya Keter…utapata wa Kale wamepangana…Now mambo ya devolution ndio sasa inaeneza ukabila zaidi…apart from counties in major towns (maybe)

Uwongo yako

Ukweli the fellows are very hard working and adventures kuruka…ukienda hata to the last corner of Afghanistan or Lebanon utapata mkisii ndio maana wako wengi sana majuu …hapo kwa accepted everywhere nayo sidhani they are not part of the politically and socially neutral tribes like Taita mahali ukisema tribe people don’t immediately form stereotypes against u

That may be a positive thing.
Mmoja akienda U.S, over time anajaza wegine huko.