Tutorial ya Kutafuna Jaba

Enyi wana kijiji… Mtu aweke step by step guide ya kushikisha jaba. Mwezi iko corner na mboy child lazima aweke stimulant kwa system. Jaba nisha nunua za 50/= … Next step… Na chew na big g nikimeza mate every then ama na teremsha na sprite. Nipeni mwelekeo, ama niweke paybill no mtume mchango ni nunue shteam.

Enda south b uulizie hapo kwa vaite, Belle Vue

Ulikonunua enda ulizia user manual…

enda ukae na kondoo hapo njee ya city stadium ikufundishe

https://www.youtube.com/watch?v=hUrYaniiyQU

Uwesmakende kondoo za kwenyu hutafuna jaba?

Jamaa mdomo yako imejaa, nikama hump ya ngamia.

Na

Sasa mdomo yake ikilipuka?

Chew with ‘affokando’ thank the village later.

Weka maji kwa mpango. Shika tawi one by one, chew mos mos. Jaba ikiwa inaanza kuachana uma big g kiasi, its a catalyst. Taxi iki zidi, punguza. Repeat cycle. Uki. Maliza weka mzinga karibu. Kata nyoka kichwa. Enjoy

Like this.[ATTACH=full]144038[/ATTACH]