Tuwekeeni App

Mods wa hii forum tafadhali mtuwekee app ndo inanoga zaidi. Na kama ipo mniambie pia nitashukuru.

Wasalaam
Mzigua90

Yah app inakua rahisi kutumia.

Ngoja tuone kama watatusikiliza. Yani jioni yangu ya leo iko mwanana

@The Tweet lifanyie hili jambo kazi

Jaman jamani mpo wapi

Tuko hapa. Kaite na wengine basii

Wanazingua…wanatunyima tu ulaji sisi developers

kweli kabisa apa mpk nianze kufungua google

Aisee nimewashindwaa…tisha sana!

Inachosha kichizi

hehe mwenza nmekumiss kina shunie wako wap

Wapi saint ivuga jamaniii mwambieni tumehamia huku

yupooo anapajua sanaaa

Mwenza kina Shunie kuna kitu kinawasumbua humu wanashindwa kujoin. Ila anakuja na Geniveros. Sakayo keshafika

Anakujaa

Shunie yake inazingua sijui imekuwaje aki

Sijui ni nini yani. Na Geni nao anapata tatizo kama la Shunie.

Mzigua90 huku Kenya unakaa mitaa gani?? Nataka nikutembelee tupozeane machungu ya kufurumushwa kule kwetu TZ japo kwa usiku mmoja…

Niko Tz yetu mkuu.