Twisted world

#1
There is this guy i used to know sikumjua vizuri lakini ile mkionana mnasalimiana so the guy was a smoker mbaya and a drug abuser of cocaine, heroin na madrinki (changaa na mnazi) so this day after a night ya kupare akarudi home.

When the guy got home he saw a woman on the sofa ninja was high on his drugs of choice na akaanza kumlima huyo mwanamke am assuming alikuwa amevaa lightly na ambaye alikuwa amebleki, the lady akaanza kupiga nduru huku ninja hasimami yeye anaendelea kuchapa ngoma ndio the lady akasema my son what is this you are doing? Am assuming the guy stopped after hearing the woman call him my son ndio akaanza kushikanisha hapo sasa ndio majirani wakakuja and wakambiwa kile kitendo kilichofanyika and that is how the whole area knew of this guy story.

I dont know how their relationship went from there but there were rumors that she cursed him, the guy ended up dying in 2016.

Dont use drugs! Stay away from them!
 

Top