Uamuzi wao wa kuwa na civil partnership badala ya ndoa wakubaliwa na mahakama Uingereza.

Sky Eclat

Village Elder
#1
Bwana Charles Keidan mwenye miaka 41 na bi Rebecca Seinfeld (37)wameshinda kesi waliyoipeleka mahakamani kutaka wapate kibali cha kufanya civil partnership badala ya ndoa. Kwa kawaida civil partnership hufanywa na wapenzi wa jinsia moja. Hii inamaana Keidan na Seinfeld watakuwa watu wa kwanza wenye mahusiano ya jinsia tofauti kuruhusiwa kufanya civil partnership.

1530103979399.png

Civil partnership ni muunganiko wa kisheria kati ya watu wawili badala ya ndoa.
 
Last edited:

Gidheli

Village Elder
#6
[QUOTE="Sky Eclat, post: 1707322, member: 36369" Kwa kawaida civil partnership hufanywa na wapenzi wa jinsia moja. Hii inamaana Keidan na Seinfeld watakuwa watu wa kwanza wenye mahusiano ya jinsia tofauti kuruhusiwa kufanya civil partnership.

View attachment 180077
[/QUOTE]

Yajayo yanafurahisha
 

Top