Uber drivers

The truth

Village Elder
#25
Ongeza Maili tisa, huko Namanga ni nyingi sana
Inakaa unaishi hizi sides,there are very many, pia hapo Namanga border. Stayed in Maili Tisa for like one month on business huko,ile joto iko huko! Tuseme tu hapo ndio shetani huenda sauna. Saw a lady do onions large scale hapo karibu some Rd block zikakauka ata kabla kutoa bulbs.noma sana
 

incognitus

Village Elder
#26
Hiyo budget tafuta tiida Latio. Uber utangoja sana Nairobi but Mombasa I think wanachukua. ingiza kwa little cab na taxify pia.
Alternatively nunua nduthi tano upatie vijana Githurai zikuwe zikikuletea 400 per day.
 
Top