UFAHAMU UGONJWA WA KISUKARI NA TIBA YAKE

UFAHAMU UGONJWA WA KISUKARI NA TIBA YAKE .
www.sangidaherbal.blogspot.com

[emoji298]Ugonjwa wa kisukari (Diabetes Mellitus) hutokea pale tezi kongosho (pancrease) inaposhindwa kutengeneza homoni au kichocheo aina ya Insulin, au pale mwili unaposhindwa kutumia vizuri kichocheo hicho cha insulin na kusababisha kuongezeka kiwango cha sukari kwenye damu (hyperglycemia).
[emoji298]Insulin ni kichocheo au homoni inayotengenezwa na kongosho ili kudhibiti kiwango cha sukari.
[emoji298]Ugonjwa wa kisukari unaweza kusababishwa kuwa na kiwango kidogo cha Insulin mwilini, mwili kutosikia kichocheo hicho au yote mawili. Ili kuelewa vyema ugonjwa wa kisukari ni muhimu kwanza kuelewa namna chakula kinavyovunjwa vunjwa na kutumiwa na mwili ili kuzalisha nguvu.
[emoji298]Wakati chakula kinapoyeyushwa matukio kadhaa hutokea.

1.Tukio la kwanza ni sukari inayoitwa glucose ambayo ni chanzo cha nguvu mwilini huingia katika damu.
2.Tukio la pili ni kiungo kinachoitwa kongosho (pancrease) kutengeneza kichocheo cha Insulin. [emoji298]Kazi ya Insulin ni kuondoa glucosei katika damu na kuingiza katika misuli, seli za mafuta na ini, ambako hutumiwa kama nishati.
[emoji298]Watu wenye ugonjwa wa kisukari huwa na kiwango kikubwa cha sukari kwenye damu kwa sababu miili yao haiwezi kupeleka sukari kwenye seli za mafuta, ini na misuli ili ihifadhiwe kwa ajili ya kuzalisha nguvu.
[emoji298]Hii ni kutokana sababu zifuatazo.

1.Kongosho kutokuwa na uwezo wa kutengeneza insulin ya kutosha, au—>
2.Seli za mwili haziathiriwi na insulin kama inavyotakiwa ama sababu zote hizo mbili.

[emoji263]AINA ZA KISUKARI[emoji263]
[emoji637] KISUKARI AINA YA KWANZA(TYPE 1 DIABETES MELLITUS)

[emoji298]Hii ni aina ya kisukari inayowaathiri zaidi watoto na vijana. Aina hii hutokea iwapo seli maalumu zinazotengeneza homoni ya insulin zinapokosekana katika tezi kongosho au zinapoharibika kutokana na sababu yeyote ile, na hivyo kusababisha ukosefu kabisa au upungufu wa kichocheo hicho kwenye damu.
[emoji298]Mambo yanayoweza kusababisha uharibifu wa seli hizi katika tezi kongosho ni pamoja na kushambuliwa tezi kongosho kunakoweza kufanywa na magonjwa ya kinga ya mwili ya mtu mwenyewe au autoimmune diseases, au kushambuliwa na vyanzo visivyojulikana.

[emoji638] KISUKARI AINA YA PILI (TYPE 2 DIABETES MELLITUS)
[emoji298]Hii ni aina ya kisukari inayotokea zaidi ukubwani. Aina hii ya kisukari husababishwa na kupungua utendaji kazi wa homoni ya insulin, au seli kushindwa kutumia insulin ipasavyo.
[emoji298]Hali hii mara nyingi husababishwa na unene uliopitiliza yaani obesity, au hali ya kutoushughulisha mwili kabisa (physical inactivity).
[emoji298]Kwa vile, katika aina hii ya kisukari, insulin huzalishwa kwa kiwango cha kutosha isipokuwa tatizo lipo kwenye ufanisi na utendaji kazi wake,

[emoji639]KISUKARI CHA UJAUZITO (GESTATIONAL DIABETES MELLITUS)
[emoji298]Ni aina ya kisukari kinachotokea pindi kunapokuwa na ongezeko la kiwango cha sukari katika damu (hyperglycemia) wakati wa ujauzito. Aina hii ya kisukari huathiri karibu asilimia 2 hadi 5 ya mama wajawazito wote ingawa wengi wao hupata nafuu na kupona kabisa mara tu baada ya kujifungua.
[emoji298]Hata hivyo karibu asilimia 20 mpaka 50 ya mama wajawazito wanaopata aina hii ya kisukari huweza kuendelea kuwa na ugonjwa huo hata baada ya ujauzito na hatimaye kuwa na aina ya pili ya kisukari.

[emoji261]SABABU ZA KISUKARI [emoji261]

[emoji298]Sababu za kisukari hutofautiana kulingana na aina ya ugonjwa huo.
[emoji117]Aina ya kwanza ya kisukari ina uhusiano mkubwa sana na kurithi. Aidha aina hii pia husababishwa na maambukizi virusi kama vile Coxsackie virus type B4.
Visababishi vingine ni pamoja na sumu inayotokana na kemikali za baadhi ya vyakula (food borne chemical toxins), na kwa baadhi ya watoto wachanga maziwa ya ng’ombe yanaweza kuchochea kinga ya mwili wa mtoto uushambulie mwili wenyewe na hivyo kusababisha uharibifu katika tezi kongosho.

[emoji117]Aina ya pili ya kisukari kwa ujumla husababishwa zaidi na jinsi mtu anavyoishi na pia matatizo ya kijeneteki. Aidha kuongezeka uzito na unene kupita kiasi (obesity).

Sababu nyingine ni pamoja na kuongezeka umri, maisha ya kivivu na kutofanya mazoezi na pia ugonjwa wa tezi kongosho (pancreatitis) ambao hufanya insulin inayozalishwa kuwa na ufanisi mbovu au ya kiwango cha chini.

[emoji256]DALILI ZA UGONJWA WA KISUKARI [emoji256]
[emoji117]Kukojoa mara kwa mara
[emoji117]Kuhisi kiu kali na kunywa maji kwa kiwango cha kupitiliza (polydipsia).
[emoji117]Kuhisi njaa na kula mara kwa mara (polyphagia).
[emoji117]Kuchoka haraka
[emoji117]Kupungua uzito
[emoji117]Vipele mwilini (diabetic dermadromes).
[emoji117]Kutoa harufu ya acetone inayofanana na harufu ya pombe.
[emoji117]kuhisi maumivu ya tumbo na kupoteza fahamu

[emoji298]Na wagonjwa wa kisukari pia huwa katika hatari ya kupata maambukizi katika kibofu cha mkojo, ngozi na kwa wanawake sehemu za siri.
[emoji298]Baada ya mtu kuwa na dalili za ugonjwa wa kisukari matibabu huanza baada ya kufanyiwa vipimo na kuthibitisha kwamba kweli ana ugonjwa huo.

[emoji298]Chini ya 5.6 mmol/l au 100 mg/dl: Sukari kwenye damu yako ni sawa.
[emoji298]Zaidi ya 5.6 mmol/l au 100 mg/dl lakini chini ya 6.9 mmol/l au 125 mg/dl: Hii ni ishara ya tahadhari-unapaswa kufanya mabadiliko katika maisha yako sasa ili kupunguza hatari ya kupata kisukari. Kama matokeo yamekaribia kiwango cha juu, ni muhimu hasa kufanya juhudi za ziada za ulaji wenye afya, na kupata mazoezi au kujishughulisha.

[emoji298]Zaidi ya 6.9 mmol/l au 125 mg/dl: Una kisukari na unahitaji matibabu. Kadri kiwango kinavyopanda, ndivyo kuongezeka kwa hatari ya dharura kutokana na kiwango cha sukari kwenye damu kuzidi kupita kiasi, au matatizo makubwa ya kiafya

[emoji271]MATIBABU YA KISUKARI KWA DAWA ASILI[emoji271]

www.sangidaherbal.blogspot.com
Ni dawa mujarabu sanaa na zinaponesha kabisa kisukari in shaa Allah.

  1. ALMUNIYRU
    [emoji298]Hii ni dawa iliyotengenezwa kwa kutumia miti shamba na ni nzuri kwa aina zote za kisukari

[emoji298]Ili kuzipata dawa hizi , pia ukihitaji ushauri na tiba ya maradhi mbalimbali wasiliana nasi

+255 655 821 550

Sulayman Sangida----- Dar es Salaam

Nice information. But ikifika hapo sangidaherbal ndio ninageuka naenda zangu.

Huyu ni Babu wa Loliondo

Kwa mafunzo tiba na ushauri Wa magonjwa Kwa tiba asili. Je unasumbuliwa na ndoa yako, biashara inaandamwa na chuma ulete, unasumbuliwa na wachawi kwenye mji wako? Husiteseke tena ingia hapa
https://chat.whatsapp.com/Jcn23l8qSNgJaoRk7uZMpB