Ati saa hii dame akikulenga unamfuata nyuma pale tao unamvalisha plastic bag kwa kichwa anashikwa na kanjo anawekwa jela hizo miaka nne.
3 Likes
Kabla uiweke kwa kichwa yake, nani itakua na juala?
Utaenda kamiti, upigwe miti…
1 Like
Hii nayo ndio gani?
1 Like
itakua kwa mfuko ukimfikia ndo unaitoa
And you,are you serious?? Unajua uko jela hakutakagi Ujinga especially kwa wanawake
1 Like
@It’s Le Scumbag usinitaje kwa umama
1 Like
ujinga tu.