UFIsi

guys jana jioni nilikuwa supermarket na buy dibre na milk kuna vile me and madam agreed hii mwaka yeye haingii super so kila jioni mimi huyo maziwa mkate n i do it so quik yaani teke hadi place ya dibre then maziwa na mimi huyooo kejani.sasa si nimekwachu vitu zangu mimi kwa line ya cashier,sasa on the adjacent line naona mtoto amestand kuruka alafu kuna vike niliget pia yeye akinivunjia nikajua atleast niko juu ya bisigye kiasi,kukacheki poa maze kamwana kenyewe si kamomo na si kalaptop kako tu hapo jeans kameijaza tu poa,nywele yake ni mupya kuruka (as in weave)ni kama imewekwa hio siku na macho safi dedli alafu alikuwa na kiatu poa inakaa iko na class by the way guys hawa madem ukitaka kujua msoti ama msumbufu cheki kiatu kuna wale uchapilia zile uuzwa soo tao jioni na kuna wale kiatu yake ni ya bata ama zile shops huwa kwa malls so guys if you can sort this out utaponea mafisiress kibao.so ufisi yangu ikanishow mjamaa changamka juu niliona akinicheki so it wont be that hard.
sasa si mimi na ungomi yangu nimeweka ka smile nataka kujichocha, kidogo kijamaa kimetokea na yourghart kikaweka kwa basket ya huyo mwana kijamaa kinakaa mala mala hivi na ile ya kuniua kabisa kikawekelea mikono zake kwa shoulder ya huyu namwas.
kuna vile mimi najuaga ukiona mjamaa ana msuper amesimama inakuwaga 2 things either ako na kakitu mbaya ama ameiva sekete so i always bow down tho ni kakitu sina kaki sure but hio ingine am yet to get complains.
alafu turn yangu kufika kulipa huyo cashier akapiga vitu zake ikawa nikungojea password all this time naiba tu glances sasa kwanza juu huyo fisi ako hapo huyo mwana sasa anaendelea kuwa msuper zaidi nikajiambia tu ni sawa na mimi huyooooo kejani

SMGDH! Ukaenda kuwank ama? But as people here will tell you mbisha tafasari, it would save us the long sad hekaya.

2 Likes

Upussy

Hapo mtu hushukuru Mola kwa kazi nzuri. Hiyo time unaweza notice majamaa wengine wakiangalia juu mbinguni kwa moyo mkunjufu.

1 Like

Mbisha ya dibre na maziwa tafadhare, leo niliskip breko.

3 Likes

Eda hiyo duka ingine

MTU akiota hawezi ota hata akiongea kiswahili sanifu coz huyu jamaa aliota akiongea hiyo lugha haileweki

wekelea hekaya hapa

can you submit a raw image of the said supermarket?

Wakati mwingine ukiniona na yoghurt utii, villager wewe!

1 Like

kama huna mbisha weka sketch

Kwani kuangaliana na tortoise siku izi imekuwa ufisi? Uko down kama iyo dibre yako

2 Likes

Hii dibre ni mini

1 Like

Hii stori imeisha mbaya,kama msee anawank,akikaribia kumwaga somebody is knocking the door…u get the feeling

Senior villagers kujeni mu summarize hii hekaya elders tuchambue ,asandendi senior villagers

Dibre…umenirudisha Fort Jesus. :slight_smile: