Uganda hali si nzuri

Wananchi wenye hasira wanaandama kupinga kuteswa kwa mbunge Bob Wine. Kesho imebidi liombe radhi baada ya picha za wanajeshi wakiwapiga wanahabari kurushwa kwenye mitandao ya kijamii.

Hapa kwetu

  1. Ben Saanane alipotezwa na TISS na ushahidi upo baada ya muda mfupi binadamu wakaokotwa kwenye viroba kando kando ya mto ruvu.
  2. Lissu akapigwa risasi nyingi kuliko tembo
  3. Azory akatekwa na polisi wazi wazi
  4. juzi akwilina akauawa na polisi wazi wazi
    na mengine mengi
    Watz wako kimya ddiiiiiiiiiiiiiiii
    Halafu kuna misukule inayounga mkono haya
    Watz tunahitaji Genetic assessment kama kweli ni binadamu wa kawaida> The most passive citizens globally!!

Dada wa Taifa katika ubora wake.

[MEDIA=instagram]BmymkUgl0SU[/MEDIA]

Kwenye kitabu (autobiography) cha Kwame Nkrumah kunasimuliwa kisa kimoja ambapo siku moja Kwame (akiwa masomoni Uingereza) aliingia supermarket. Watu weusi wakati huo walikuwa nadra kuonekana eneo hilo; binti mmoja (around 4 years old) alipomsikia Kwame anaongea akamwambia mama yake: “mommy; it talks”.

Naanza kupata mashaka kuamini kama Watanzania sampuli hii ya leo “IT” haitatumika kwao kama ilivyotumika kwa Nkrumah. Iweje MTU halisi (he/she) ashangilie upumbavu tunaouona leo hii nchini kwetu kama yeye sio IT?

Sisi wanafiki saaana kama dada Mange asemavyo. Kwetu kimyaa. Kwa wenzetu mikundu juu. Hao wasanii wetu mavi kweli.

Madikteta sijui wana nini. Yaani kama vile wamechanganyikiwa.

kumbe huku mambo bado yako moto?