Sadio Mane ashafanya mambo …
Niang through pass to mane, gooool
Unaona mbona Spendi ile club ya @Meria Mata , sasa anafkuza our brothers Ukanda forever
I wish kenya tunge cheza kama Ug. Atleast hii 1st half hawa wase wanacheza vipoa.
Niko nyuma ya M7
Uganda will score. Investors GG inakwom.
So happy morroco are out. Hawa nywele makamasi wakwende uko
Karibu wafungwe ya pili
Na hivi tu ndo vile cranes wanaenda home …uweskubaff heri ungenyamaza tu
Huyo refa amewashikilia na wakalimwa
Mganda amejipaka meffi … penalt to Senegal, though a very soft one. Sadio Mane
Swara, kwani umekosa kazi ya kufanya?
Sadio Mane hana bahati na ma pena kwa hii tonament
Mane,mane mane
Ref is super lenient there.
Hiyo jaluo iko very lucky!
Hii AFCON niliacha kuiangalia tulipotolewa hata final sitaangalia.
mtu anipee link ya livestream please
That’s a straight red on it’s own never mind the fact that he already had a yellow.
Keeper kanono amesave pena banae