UGOPA MCHELE

[ATTACH=full]388616[/ATTACH]

Shot put + pombe = danger

Average unapata kama hii ricos for 200

Hizo kambaa za viatu anaeza kukunyonga nazo

Shot put ni nini?

‘Sichana fupi yellow/brown aka kiherehere

hii ni club gani nibebe stew

wewe ndo yule mgagaa na upwa hali wali mkavu?:D:D:D

kabisa

mtu anakunywaje Heineken vile ina taste kama pombe flat . nipatie Tusker lager baridi yangu polepole

Mimi sinywi hizi pombe maji maji kama Tusker, Whitecap, Pilsner, Balozi etc. Huwa zaniweka pneumonia. Nakunywa Guinness, Makali ama Keg black

Black pearl kisumu

Vile village amesema apo, unabeba stew unakula vizuri