Uholanzi kufunga magereza manne zaidi baada ya Upungufu wa Waarifu.

Mwaka 2013 waliosita kufunga magereza baadhi kwa kuhofia watu kukosa ajira.
Baadhi ya nchi kama Norway na Ubelgiji waliomba wafungwa wao wahamishiwe huko kama inawezekana.
Hali ya ualifu iko chini kwa sasa.
Vitanda vingi vya kagereza viko wazi.

source:
DUTCHNEWS
https://www.dutchnews.nl/news/2018/06/dutch-to-close-four-more-prisons-as-crime-rate-continues-to-fall-ad/

Hivi huku kwetu msongamano magerezani unapungua au ndio unaanza kumwagikia?

nilitarajia norway ndo iwe na wafungwa wachache kwa jinsi ilivyostaarabika kumbe ndo kwanza wanaomba more room, huku kwetu ndo kwanza wabunge wanaomba yaongezwe. je n kwamb wahalifu wanazd? Lakn kumbuka Huku kwetu kuna tofaut kubwa sana kat ya mhalifu na mfungwa. Ngoja niishie hapo

aiseeh, wadachi wanamambo, sijui watz hd lin…

Inapendeza sana…

Hiyo inaonesha jinsi psychology yao ilivyo vizuri…

Kufungwa kwao siyo kipaumbele sana kuliko kupewa elimu au canceling au consultation…

Cc: @Mahondaw

ni hatua ya hali ya juu ila saasaa hapo Marekani si ilakuwa na magereza ka shule?

Wamefanikiwa kutii sheria bila shuruti…

Kitendo cha kuhalalisha Bangi kimesaidia sana kupunguza uhalifu. Assume leo Matumizi ya dawa za kulevya yawe ruhusa. Nusu ya Magereza ya US na mengi Duniani yanaweza kufungwa.

Hivi hakunaga exchange program za waafungwa? Ingesaidia kupunguza msongamano huku kwetu.

Wachukue wa Ukonga kidogo

Hao jamaa walimfunga bro years! Tuliendelea kuwasiliana nae tukijua yupo kutaa. Miaka mi5 baada ya kutoka jela ndio tunajua eti aliwahi kufungwa 2 years

Hii ni kauli mbiu ya kisiasa tu!!yaani mtu atii sheria bila shuruti hata kama hiyo sheria ni kandamizi??kiasi kikubwa uhalifu ni zao la umasikini!!usitegemee sehemu kwenye umaskini uhalifu utapungua!na nchi za wenzetu hawafungi mtu kwa kumkomoa kama kwetu huku,mala unasikia mtu ameachiwa huru kwa msamaha ,kwa kuwa anajulikana !!

Siamini sana hiyo idea yako kuwa ukiwa masikini na uhalifu unaongezeka,vipi kwa nchi kama USA mbona uhalifu uko juu wakati ni taifa tajiri…?

Ndio maana nikasema kwa kiasi kikubwa sio kuwa ndio sababu pekee!!ila kwa nchi kama USA,utakuta wafanya uharifu wakubwa ni wale wenye asili ya afrika na ndio wamejazana kwenye magereza,kulinganisha na weupe.na kiasi kikubwa ni uhalifu wa wizi ,biashara ya madawa,kukutwa na silaha,na mauaji kwa kuona kuwa wanaonewa kulingana na rangi zao!!!huu utafiti niliufanya na case study yangu ilikuwa ni DSM,manzese,keko,buguruni,temeke,na mbagala.

Dah