Mwaka 2013 waliosita kufunga magereza baadhi kwa kuhofia watu kukosa ajira.
Baadhi ya nchi kama Norway na Ubelgiji waliomba wafungwa wao wahamishiwe huko kama inawezekana.
Hali ya ualifu iko chini kwa sasa.
Vitanda vingi vya kagereza viko wazi.
nilitarajia norway ndo iwe na wafungwa wachache kwa jinsi ilivyostaarabika kumbe ndo kwanza wanaomba more room, huku kwetu ndo kwanza wabunge wanaomba yaongezwe. je n kwamb wahalifu wanazd? Lakn kumbuka Huku kwetu kuna tofaut kubwa sana kat ya mhalifu na mfungwa. Ngoja niishie hapo
Kitendo cha kuhalalisha Bangi kimesaidia sana kupunguza uhalifu. Assume leo Matumizi ya dawa za kulevya yawe ruhusa. Nusu ya Magereza ya US na mengi Duniani yanaweza kufungwa.
Hao jamaa walimfunga bro years! Tuliendelea kuwasiliana nae tukijua yupo kutaa. Miaka mi5 baada ya kutoka jela ndio tunajua eti aliwahi kufungwa 2 years
Hii ni kauli mbiu ya kisiasa tu!!yaani mtu atii sheria bila shuruti hata kama hiyo sheria ni kandamizi??kiasi kikubwa uhalifu ni zao la umasikini!!usitegemee sehemu kwenye umaskini uhalifu utapungua!na nchi za wenzetu hawafungi mtu kwa kumkomoa kama kwetu huku,mala unasikia mtu ameachiwa huru kwa msamaha ,kwa kuwa anajulikana !!
Ndio maana nikasema kwa kiasi kikubwa sio kuwa ndio sababu pekee!!ila kwa nchi kama USA,utakuta wafanya uharifu wakubwa ni wale wenye asili ya afrika na ndio wamejazana kwenye magereza,kulinganisha na weupe.na kiasi kikubwa ni uhalifu wa wizi ,biashara ya madawa,kukutwa na silaha,na mauaji kwa kuona kuwa wanaonewa kulingana na rangi zao!!!huu utafiti niliufanya na case study yangu ilikuwa ni DSM,manzese,keko,buguruni,temeke,na mbagala.