Uhuru kenyatta is a father of democracy in africa

Visacard

Senior Villager
#1
Wakenya hatujawahi pata rais better kama uhuru
Uhuru ni shujaa na mwanademocracy bora hapa africa haitokaa itokee kenya kuongozwa na kiongozi shupavu na mpenda democracy kama kenyata
I want to insist tena na tena kwamba uchaguzi tunarudia but raila odinga will never ever be a presdent all over the world may be presdent huko mbinguni kwa god but sio hapa duniani
Raila hatokaa awe kiongozi popote pale duniani ataishia kucomplain kuwa kaibiwa kura
Uhuru kenyatta for kenya
Uhuru tano tena
 

King popeye

Village Elder
#2
Accept and move on. We cannot be politicking 24/7. Go back to nation building

(every jubilee supporter addressing a NASA supporter after the 8/8 election and 2013)
 

Top