I wonder how comes pale uhuru park kila mtu ako na accent. 90% of the leaders wanaSHEMA.
And how comes they are addressing us in vernacular??. Sisi waDIGO hatuski.
I wonder how comes pale uhuru park kila mtu ako na accent. 90% of the leaders wanaSHEMA.
And how comes they are addressing us in vernacular??. Sisi waDIGO hatuski.
Kiswahili ndio unaita vernacular ama ni hizo phrases wanatumia to refer to NASA ndio unafikiria ni vernacular... Been watching it, sijaskia anything but official languages...lakini huyo DJ anajua kuingiza sound effects...