Uhuru

Best president ever and for the foreseeable future. Mungu ametubariki sana na president mpoa.
Hopefully hiyo referendum ita- extend term yake na mwaka ingine tano au ata tatu.

[ATTACH=full]229417[/ATTACH]
He’s so cool.

Good men do not make good kings.

Liwe liwalo,kumi fresh

The last six years have been tough for kenyans but horrible for thurakus. Never in my life have I seen thurakus change tune faster than Demakufu. Ilianza na the dynamic duo being God’s personal favour to our country na kimundu ndio shida ya Kenya. Simba 1 na Simba 2 manenos. This changed to Uhuru ni MTU mzuri naibu wake ndio analeta noma na Raila hataki maendeleo. Soon, it was uhuruto tano tena, webe ni ure sure, kumira kumira etc. SAA hii, wimbo ni vile mkwaju ni mkubwa na mchunhu bila lube. They are wondering where Raila is wakati pesa zinafujwa na mafuta kuongezwa.
My thuraku friend actually surprised me one day aliposema Rails angekuwa kwa opposition, at least angejaribu kupigana na impunity.

:smiley:

Suraku tumeskumwa saidi, sasa tunazaa kwa vichaka uhuru park kama mbwa

Blogger wa jubilee development ndio nahurumia. They can’t spin shit anymore…very sad.

Not for lack of trying. Umeona venye @spear ametukuza hiyo kinyesi inaitwa Boinett jana as if we are all strangers to uselessness of Kenya Police in the last few years.

Angalia kijiji vizuri boss. Hiyo sokwe imekuwa ikijaribu kutuambia vile maisha bado ni poa under Jubilee. HAHA!

Uhuru bankrupted his family’s businesses , whoever thinks he can run a republic ni senji kama sudi…

No!!! Hapana!!! Hapa sasa umeenda sana. Kwa vichaka. ni kwa sababu mwenye alimwaga ndani dissappeared into thin air.

Uhuru became president when National Debt was 1.8 trillion. Imagine since 1963, for 50 years, we only accumulated 1.8 trillion shillings debt.
Now we are at 5 trillion.
So Uhuru has added 3 trillion all by himself. And he is not finished selling Kenya. By 2022 the debt will be part 7 trillion.

@Kimakia kuja hapa tutroll huyu Mjuajinga vile ye husumbua kwa thread za wengine.

Leta details.

my friend so far this has been the worst government kenyans will ever had. we pay people whos shouldnt even be existing in the government in the first place eg CAs, women reps, MCAs and why the hell do we have governors and senators at the same time. halafu angalia wage bill ya saa hii vile ni low yet taxtaion is really high. madeni nayo sitasema sana juu hasira ni mingi. i have nothing against the president lakini he really failed in steering his ship in the right direction to the extent of people messing up and tagging along his name. hizi ten years zimemtosha wacha aende gatundu south apumzike

hebu waambie tena wakusikie

ni kubaya.
Taxes ndio zitafanya watu wajue ni kubaya. Already biashara nyingi stock haisongi.

Niliwaambia nyinyi wajinga hii kenya kama huezi kuwa mwizi pia u better start immigrating because there’s nothing for u in this godforsaken shithole. Ngojeni 2022 kwanza ndio mtajuta

Not really. Remember your mother knows you best. With his drinking no way mama ngina would have entrusted him to run any business. He was just an empty figurehead. You go and stua the workers.