Hehehe…[ATTACH=full]4497[/ATTACH]
4 Likes
hizo ndio shamba zao
HOMOJUNKIE SHAMBA ZAO ZINAKUWASHIA NINI?
ULIZA MAMAKO
In Nyeri kila mtu ameinua mkono moja tu…ingine imeshikilia Walle…ama wacha tu. (no pun)
4 Likes
picha ya nyeri haiwezi kosa hizo kofia za cowboys
1 Like