Ujinga flani: kwani uko na number ngapi

Kuna hii ufala mtu anakuuliza kwani uko na number ngapi! Kenya has safaricom, Telkom, airtel, faiba na labda Yu . kama ni shida sana si mtu upande kicc uite merge kama survivor ndio awa majamaa wakue one. That way nikue na kiline kimoja kibigi niache kua na sim card za kile network nkt.

umesahau Equitel

Na mobitelea

Mbona hii swali inakuuma hivi? Alafu kuna story falni yako nilikuwa nataka tubonge. But before we go into that, nilikuwa nauliza, kwani uko na number ngapi?

Ata

Hhahahaha sawa tu

Hii swali aliulizwa na kunguru mi naona na iliharibu pre coitus plans zake zote ju ya kuonekana kama mhuni mwenye number mingi kushinda kamiti folks