#Gari mbovu halisukumwi kwa kukaa ndani yake.
cough cough puff’ puff’
Pass the Colombo!!
#Gari mbovu halisukumwi kwa kukaa ndani yake.
cough cough puff’ puff’
Pass the Colombo!!
mdomo mkubwa,chapati waikunjia nini?
Mavi ya kale, hai nuki.
kwani seminar ziliisha?
majaribu ya leo sio majibu ya kesho
Seminar hili jina tu… wewe zidi kuwa mkaa bure…
cha mwanafunzi huliwa na makanga…
Aisifiaye mvua ujue imemnyea
Jino moja mswaki wa nini?
Ukiomba mtu pesa alafu uone “typing” for more than two minutes just reply ushapata juu unatumiwa reply telling u vile yuko na problems mingi na hana pesa
Mkunwa Na mkunaji, msikia Raha ni nani ?
Kuna vile wote ni wakuni
Kufa kwa mkundu, mavi hutawanyika
Akipenda chongo huona kengeza.
“A person in love mistakes a pimple for a dimple”.
Maajabu ya shingo kukataa kulala.
Bibi mkuna nazi kuma yuwazi !
Sinzia na fegi mkononi,uchome kibanda.
Moto!