UJINGA

INSHA YA MTOI WA KAYOLE: am sure
@Gnabry can relate


Ilikua Mangware kitu ka saa moja na mbaula. Mathe alikua ndio anapika bre breko na si tulikua tunadu? tunadunga gwandazachu? gwanda za chuo. Kighafla bin vuu mzae akadungiwa Nangos ngrrrrrr ngrrrrrr ngrrrrrr akauma va? vako akailee? akailenga. Me nikachukua ndunya a.k.a ndao
aka skonya nikaichapa mabite mbili chwa chwa kizangilazangil
a nikaingia bedroom chini ya maji. Nikasanya mbao ya kukula ngumu brektime chuo.
Mabundeeh zikaanza kulia twatwatwa dushnyau. Nikajua kuna msee anaperembwa nkachungush kwa odiro nikacheki ni budangu ako
works anaperemba wasee kwa coridor ya kina Symo. Juu ni tit for tat pia mi nikasaksua macoin zake kwa koti. Wanasemanga mtoi wanyoka ni nyoka ziiiii hio nilikata coz mtoi wa nyoka ni nyokandogo. Saa ticha jo manze hii insha nilicram vindialala hadi hapa, nidunge kenye unanidu?
Unanidunga nimema? nimemada…mode jo usiniletee pia weuwe… awolan shashutterde.

Copied

1 Like

Monkey chapa hii fala suspension
[ATTACH=full]6525[/ATTACH]

2 Likes

Yenyewe @Mzee mzima aliicram vindialala hadi hapa :):slight_smile:

Peleka Ujinga UKOOOOOOOO…Minyoo Hii

U
P
U
S
I

P
E
L
E
K
A

H
U
K
O
O
O
O
O
O
O
!
!
!
.
.
.
.
.
.
.

1 Like

Mzee mjinga!

Manze si umee!!! Kihii!

hahahaha

Kifaranga kabisa ulijiokota wapi wewe

hii ni kama hii heading