UKIAMUA KUWA NA MAHUSIANO NA MUME WA MTU LAZIMA UKUBALIANE KUWA MTUMWA WA MAMBO YAFUATAYO

1.Baby samahani dakika moja,wife anapiga simu
2.Baby muda umeenda Sana mke wangu atanipigia, wacha niwahi kurudi nyumbani, Kesho saa 12 nitakuwa hapa
3 Bby nataka kuja kulala kwako mke Wangu amefiwa kaenda kwao
4…Baby sintaweza kuja Leo, wife kanibana… Pole kwa kuugua
5.Baby tangulia mbele, nitakukuta… Pale wanakaa shemeji zangu, wakituona pamoja watamuambia wife
6.Unaweza kimbiwa katikati ya sherehe usipewe hata nauli ya bodaboda, kesho unaambiwa sorry darling, si uliona wife alitokea ghafa
7. Mkiwa mnaongea kwa simu kwa mahaba mara unashtukia unaitwa Hamadi na kuagwa fasta.,baadae unaambiwa mke wangu alitokea ghafla nikawa sina jinsi
8.Unaweza pitwa barabarani na mvua inanyesha,kesho ukaambiwa nilikuona my love, Ila ningefanya nini… ,nilikua na mke wangu
Ili mwisho wa siku ukija kupewa mimba na kutelekezwa usije na kauli zako za kusema wanaume wote ni mbwa na kama utafikia hatua ya kuwaita wanaume wote hivyo basi anza na kumtaja baba yako ili twende sawa maana sometimes huwa mnakuwaga na ukulunjuma mwingi sana dadeq

Sawa

Wote muwage mnamilikiwa “mchepuko mwanamke” uwe mke wa mtu ndio inapendeza.

Tatizo binadamu ni wabishi sana…

Ngoja waje…

@Mahondaw

Duuuh wachambuzi wa mambo naona mnafanya uchambuzi wenu

Mke ni mke mtu

Kaka akee upo

Nipo nimejikuta niko nje ya nchi

Sawa jamani nafurahi kukuona

Asante dadake ila hata kunishtua hukuweza au ndio tunatorokana?

Kaka nakushtuaje jamani ila taarifa nilimpa tumosa nilimwambia awaambie na wengine

Sawa dadake niliwamisi sana maana nilijikuta niko giza lakukodisha

Nashukuru ujumbe ulifika

Asante sana kaka akee

Bila michepuko wanawake wanadharau sana waume zao.
nimetafuta mmoja mambo yanasogea.
Tatizo mizinga sasa

Asante dadake mi mgeni hapa natumia uzoefu wa mitandao tu

Ila naona wengi hawajui huku kuwa kupo

Ha ha haaa…siwezi utumwa huu…ninawivuu baraaa

haikwepekii iyo we pambana tu na hali yako

Michepuka mizuri sans. Ukiwakoleza dushe husikikizia sanaaaa!! Home sijui hujifanya kiu hawana!!

Hahhaha shunie

Abeeh
Kweli mke atabaki kuwa mke michepuko haina nafasi