Ukimwi inapeanwa kama njugu

If the “confessions” on these screenshots are anything to go by, then kizazi kipya hakina bahati.
There is this generation born in late 90s , they never saw thin emaciated people loosing hair and dying of aids . So to them HIV is just another homa…

This is in contrast to the ones born in the 80s and earlier , they saw villages decimated by this scourge that was feared more than the devil, so bado wako na
“Kauoga” kiasi.

Take care people.

[MEDIA=twitter]1121015358331260929[/MEDIA]

Hii generation Z zitatumaliza na sisi ndio tutakuwa sponsors wao wakiwa wakubwa

Unajua hatuwesclick…

:oops::oops: scary shit

sema tu hauna bundles, pundamilia wewe:D:D:D

:D:D:D mimi ni wale wa internet ya office

haya ngoja muhindi afungue warehouse kesho uingie free wifi :cool:

most of the things zmeandikwa hapo ni upussy…ile royco imrongezwa acha tu…

Sabina Joy na Rico pub umeokota ngapi?

Huo ni ujinga wa hali ya juuu…MIMI HUWA NAMWAGA NDANII kama alpha male

Onjohi ameanika hii pale mkz. Saddest part is the ignorance portrayed by those uni kids. Must be fake news.

The stories are just fake! How do you test positive after a couple of days unless you were positive before the fcking?

Ukimwi haina boundaries…ikipata slay queens wa Z generation pia nyinyi mnapatwa juu nyinyi ndio sponsors…though the story doesn’t sound true

:D:DKweli kuna watu wajinga hii dunia ati you test positive after 4 days?

Summary itasaidia sana.

Sielewi io story pia … less than a week

Shit got me all scared

Senior elders, I have all the screen shots, it’s serious stuff

Hii ugonjwa ipate tiba manze

ukimwi ya siku hizi inakam after four days…:eek:o_Okachumbari iko kwa hii hekaya,wacha tu