Ukioa mwanamke mfupi jiandae kisaikolojia

Shemeji_x

Village Elder
#1
Hawa watu wana wivu wa mwendokasi,wabishi,wagomvi,wasiojiamini,wenye maneno ya kejeli,ila kabla sijaweka nukta ni watamu na wanajua kupenda!
Ni kweli ama ni porojo tu?
Naomba mtumie kiswahili mkitoa maoni kwenye huu uzi.
 
Last edited:
Top