Ukipewa ivi

[ATTACH=full]435693[/ATTACH]

Kukula ukiwa kimya.

Hii food inakuanga hype at most its basic.

Huku ni CJ’s ama?

Hii ni chakula ya watu wangapi?

Wawili. Hii ni Kilimanjaro ama cjs

Heartburn na kushuta ndio zako… whack meal

Tamil sana

*Tamu

Too heavy for lunch

Toa white rice, uncooked cabbages, and the stewy meat. That chapo tastes dry or what?

:smiley:
It looks too “unbeautiful” for CJ’s. Too many things on the plate. Nikipewa hivyo…
well, I don’t like the look.

Ya Chep jikoni pale next to green all iko mofaya

Watu wa ngwai hawatambui chenye mnasema. Hakuna mkate ngumu mbele ya chai.

Utakunia hivo tu