Uko wapi Cole Williams???

Nimekukumbuka sana Kipenzi changu. Popote pale ulipo nakukaribisha ukimbizi huku. Karibu tujifiche ili tuweze kuteta kidogo kipenzi changu cha dhahabu.@Cole Williams

Nimekumbuka tabasamu lako na mandishi yako yaliyojaa busara, hekima na upendo wa hali ya juu.

Your lovely Wife @Swewtlee

Hahaha haha napita tu mm

Hahaaa cole kakumbwa na dhahama ya tisiaraei.

Ngoja nikanywe chai kwanza hahaa

Woyooooh!!!

Mapenzi yana nguvu kuliko breakdown

Pole mno… Hebu mtumie link akuje hukuuu!!

Hahahaaha sasa atamtumiaje link lakini angekuwa anajua pa kumpata angemtafuta hivi

Lile ombi langu ndo umegoma kulitekeleza?

Hahahahahah
Pale bongo movie inapogeuka kweli!! Hii kitu huwa inaumaaaaa

Hahaaaaa sakayo mkorofi

Hapana sio hivyo nakumbuka sana sema tatizo ni kwamba vyanzo vyake vyote vya mawasiliano havipatikani sasa sijui anashida gani?

Yaan sakayo anajifanya kama hajui

doh!
Sawa basi

Hahahahahaahaha pale unapomiss kubebishwa halafu unajiuliza hivi kwa nn hatujapeana no lakini tulikuwa tunaishia jukwaani

Hahaaaa inawezekana alikuwa hajaelewa

Maksi afungue jeiefu hata siku moja tu hahaaa

Hahahahahah
Halafu unajikuta unamiss mbebisho seriously kabisaaa!!? Hahaha haya mambo hapana aiseee!

Sawa vuta subira unafurahia mema ya nchi kama Jokate

Hapana kaelewa ni maksudi yake tu

Nilijua anammiss kijeifuu

He he naijua hiyo hali mm achana na mbebisho bwana we mwenyewe umemkumbuka bongo movie wako eli