Ukoloni mamboleo

It is wildebeest migration season and i have just discovered that our local tv stations can’t air the event live for some few hours but a foreign station like Nat Geo wild can air it as a recorded documentary on their channels. Kama hii sio ukoloni maffi-leo sijui ni kitu gani.

They are doing us good,we don’t want those gory images of beast getting mauled by the big mouthed crocs.

Machifu wanaambiana nini

Wanaulizana movie ya kobole hulipiwa ngapi?

Umeongea kama chifu mwenzangu. Pewa kikombe ya busaa!

Hii lazima ukuwe chifu wa kijiji ndio uelewe.

Apana raiya. Hapo umetushusha sana jameni! Apologise ama tukutumie askari wa chifu ulale ndani!

Na @Chifu ameachwa wapi kwenye hii gumzo?

They have all the time to air third rate soap operas, but not informative local content such as this

Sasa kwanini reasoning yako iko poor hivi ?

Tunaonanga Ngombe za Masai zikivuka Msa rd. Kila Siku na hatusumbui.
Even sometimes they get hit by @amun 's truck and we see humans turning into crocodiles and snapping up the carcasses with brutality and deadly speed. Nat geo got nothing on this shit.

Hakuna ukoloni hapa because tunajua our local media zinapenda kutengeneza mediocre contents because they are cheap. eg kama media za Kenya zingekuwa na leaders wako chonjo ile documentary series za big cat diaries ingekuwa ni hao wame produce na kucreate instead of BBC.

Ati atia?

Please help me to improve it sister!

Kweli kapsa. But don’t you think that this shows our minds are not yet liberated? Mbona tusifikirie kuwa na documentary channel yetu na tuinvest in it ndio tuwe tunauza hii content internationally?

:D:D oo uguo mudu witu.
We have urban cattle migration.
You have a point though, the only problem is that the film board of Kenya charges astronomical licensing fees.

I think that might be the reason.

Shida ya kenya ni the few rich guys wanapenda kuinvest in plots and malls.

Umenena ukweli. Watu wakipata pesa Kenya wanakosa creativity.