Kuna siku ule mbukusu mseh wa Ocha @Mundu Mulosi alipost thread . Sasa kwa replies ule mwoman @Supu don akashow mans "btw I like your new profile pic" Mseh wa ocha ndio alikuwa ame change picture hio siku na Ilikuwa ya ule mnigga drug dealer mfyam wa Breaking bad.
Huyu hapa kwa wale hawashiki uradi
Anyway mundu Mulosi kuskia ame preziwa aka nice yake yote. Since that day mseh hajawai badalisha hio profile pic..and that was 7yrs ago . LMFAOOOO
Enyewe kuwa mseh wa ocha huwa kitu mbaya sana.
Anakula sembeste saizi..Lmfaoooo