Ule Mbukusu wa Ocha Mundu Mulosi Aliambiwa Nice Profile Pic na Galdem....

Kuna siku ule mbukusu mseh wa Ocha @Mundu Mulosi alipost thread . Sasa kwa replies ule mwoman @Supu don akashow mans “btw I like your new profile pic” Mseh wa ocha ndio alikuwa ame change picture hio siku na Ilikuwa ya ule mnigga drug dealer mfyam wa Breaking bad.

Huyu hapa kwa wale hawashiki uradi
[ATTACH=full]247001[/ATTACH]

Anyway mundu Mulosi kuskia ame preziwa aka nice yake yote. Since that day mseh hajawai badalisha hio profile pic…and that was 7yrs ago . LMFAOOOO

Enyewe kuwa mseh wa ocha huwa kitu mbaya sana.
[ATTACH=full]247002[/ATTACH]
Anakula sembeste saizi…Lmfaoooo

Mono baller tuma mtu vyadyvostok

Hahaha…juu ya kuongea ukweli

Hio nyama ya miguu tamu sana kwanza supu!

Much better than berndora sausages filled with chemicals

Ako poshomill anasiaga mahindi ya Nakhumincha bibiye @uwesmake

i

inakaa kama curtain rod

Mboga iko on point, ugali hiyo potion haiwesmake!

Mundu nimekumulika mpaka umepunguza Ku shrub