Watu waweke stamp wanatoa lock wapi na unakunywa nini?
Nakunyweko palozi.
Namumunya Tusker pole pole
nilitaka toa lock leo but av ended up drunk instead, hii lock natoa lini jamani?
Kunywa mnazi(kilalo) pole pole na uwache kusumbua
:D:D…mumunya chupa ya tusker mosmos
KaSmirnof 1/4 na coke (soda) as I watch WHU vs EVE
PEASANT MANENOZ NA SISUMBUI[ATTACH=full]95827[/ATTACH]
Mimi fombe niliachia Uwesmakei
Niko mdogo mdogo bm na goks mpaka ulevajiri sacco[ATTACH=full]95828[/ATTACH]
Tusker hapa Beevers
Niko keja…debating whether nilewe leo ama nijaribu kutulia.