So apparently, my other half amekua akinikumbusha kila siku na usiku.. bae ukumbuke Friday saa tisaa.. na mimi najibu tu..sawa.
Friday ikafika na saa tisa ikafika..Mimi huyoo mpaka kazini kwao. Nlikua najua ni some medical chek-up bullish! for employees and their spouses if applicable.
Nkafika tu mzuuri na tukaanza kufuata maagizo. Laini haikuwa kubwa so tukaanza kwa doc wa kwanza..lemmi call all of them docs ju sijui namna ingine.
All went well mpaka nkafika place tukaambiwa tutoe viatu na socks for me. Tukakanyanga machine ingine apo ati inapima 10 in 1. Izo zote dame flani alikuwa anaziandika kwa fomu zetu na tukaanza ku-explainiwa in the next six-sits. Mimi tu ndiye nlipatikana na some fats around the stomach above normal (7.9) na Nkajua iyo ni kitambi nanyemelea but kitu funny ni venye sisi wawili akuna alitaka kupimwa ile mambo ingine hehee sasa nko apa nabugia jammie kupiga mafuta alafu ntafute siku niende kupimwa peke yangu alafu ikitokea poa nimchoche twende lol!