Baada ya kula mabiryani, am back to the base kuweka lock. Taja unawekea yako wapi.
[ATTACH=full]128640[/ATTACH]
Baada ya kula mabiryani, am back to the base kuweka lock. Taja unawekea yako wapi.
[ATTACH=full]128640[/ATTACH]
Nitakuwa imax kucheki muvi ya midnight.
(••)
<) )╯Nataka
/ \
(••)
( (> nilewe
/ \
(••)
<) )> waite
/ \
(••)
<) )╯ambulance
/
(••)
( (> Kesho
/
(••)
<) )> Niamke
/
(••)
<) )╯na
/ \
(••)
( (> bablas
/
(•_•)
<) )> Nikunywe supu niskie fabulous
9[ATTACH=full]128650[/ATTACH] [ATTACH=full]128651[/ATTACH]
Shonde wewe kanono
[ATTACH=full]128647[/ATTACH] Challenge accepted
[ATTACH=full]128647[/ATTACH]
Hapa Ni mist?
mbona unakunywa mkojo ya ngamia? angalau heineken ama carlsberg mr waithelelo
Nope.
Mayers ungwaroo
Nakuru, at an officer’s mess no cameras allowed in the presence of my county commander.
Niko enroute nikifall out. Sitaweza kumuona Leo.
Upuus! kwani madha amekataa usitoke kwa keja leo :D:D
Ngumo, VAT mpaka 69 tu
Moi University, F2.
Faxe, juu Tusker na Pilsner zimeisha.
haumisingi tusker,pilsner,gk,whitecup na summit zetu
Hehe … I thought uliwacha kunyua mkojo ya ngamia. Bado unatambua the taste
Of course I do, kwanza cold pilsner na siule mwanakijiji
Habari kizee