Ulevi sacco lunchtime edishen

Mimi nko somewhere in Machakos already najijenga. Taja where you are and what you are indulging in. @Kihii Kiaganu pia unaweza leta zile zako za njogu-ini.

[ATTACH=full]104706[/ATTACH]

Kujijenga sio kukula my fren…na hapo umeongeza kilo tano…dump the chips section.

jana nilikucheki place Kush

Nice food but usitutajie ukiaganu au ugio watatuharibia appetite hapa.

MIMI NKO MERO

:D:D:D:D:D

:D:D:D

I see you spare no effort to keep fat.

Hiyo ni sahani ya ngapi mblo, unajua huwezi fikisha threshold ata ya nduthi ukikula vibanzi… Jenga mwili haribu jina

Dude that’s really mean but sadly true… :D:D:D:D:D:eek:

Kariuki mbona una dine na ma adui wetu?

Mambo ya pombe na barabara tulikataa.Hatutaki kuona post za kichwa chako hapa kesho. Alafu nurses wako strike kwa hivyo sijui nani ataku-revive.

[ATTACH=full]104709[/ATTACH]

Niko Laare. Tukutane wapi nikununulie nyama?

PALE INBOX

mimi niko around Tatu City

Ndio ulitoka kwa nyumba hata bila kunywa chai…isokey :smiley: :smiley: :smiley:

That’s a very unhealthy meal. Junk food plus alcohol =diabetes.

Sawa @Mtura ndom bado tu unakula mĂ­tura na ndom

Hehe … CID

Unefikishwo threshold?

Sasa kama hakuna unga ya ugali … si maybe sirikali isaidie