Ulevi Sacco: Monday blues

Walevi wale wanaenda kulewa. Weka stamp unakunywa Nini na uko wapi?

Kwani wewe ni binapombe ya aina gani? Watu wanarauka kwenda kunukisha kitunguu na wewe unaongelea urefi?

Birrioneas DO NOT “rauka kunukisha kitunguu” they rise up coz they are a walking kitunguu wananukia tayari:D:D:D:D:D so watu wa hio ligi ndio wanaeza relate:cool::cool::cool:

:D:D:D

:D:DLa haula!!

Upuss