Nimekafunga, mpaka next year wadau . Siwezi ngoja 5.30 ndio naingia undisclosed lokeshen nikiwa first boots on the ground. Semeni penye mko nije niwanunulie. Sacco officially open hic
Piga photo ya rat rat inayoinywa kabla uibiwe simu.
picha or it never happened
tuko youtube tunaona huyu muimbaji anaitwa VEVO
Ngombe mwaka inaisha na hujanunua gibleys The Hub? Wacha mcheso
Treshera sema siku nikuchape bonus ya kazi muzuri pale telekram .
Leo silewi i will just be a @Useless Spectator
fala ni fala tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Naona hapa ni convo ya maVE na maVS lakini sina la kusema wasito.
Mjienjoi weekend lakini.
Homo ugwes
[ATTACH=full]144968[/ATTACH]
Niko mtaani. Taxin na zile vitu mututho alitukataza
:D:D:D:D:D hio chrome niliona jamaa akimwagilia panya , panya ika RIP papo hapo .
Kanyeni defense forces in the zone
manze msee hata hununua big-G.
Ile kitu missing ni krest ndogo!
Hio starehe iko timam though
Naona umeingia kirindi yangu
nimeanza mos mos, na reggae kiasi kejani
[ATTACH=full]144975[/ATTACH]
hio bluemoon kuna jamaa alikunywa kuota hakuwai amka .
bluemoon haina hangover, plus ni pocket friendly sana