poison you are taking and coordinates…hekaya za pombe hatutaki
[ATTACH=full]136510[/ATTACH]
kama baya baya
Damn! I WANT THAT!
Castle lager has a very good taste. Bia Ni Bora ! Bia Baridi ni Bora zaidi. Niko kwenye niko.
[ATTACH=full]136530[/ATTACH]
washana na fobe ya wathee
Niko hapa ninakunywa tusker apple cider, ( inaitangwa hivyo?)
yep…shida tu ni hiyo sukari mingi,asubuhi utakafeel na hangdown haikai
na msisahau…friends dont leave friends ata akuwe anahanya
[ATTACH=full]136531[/ATTACH]
Am yet to decide whether to go out or stay indoors. It’s a wet, wet, wet Friday evening.
Am yet to decide whether to go out or stay indoors. It’s a wet, wet, wet Friday evening.
Ulisikia mimi ni kijana?
Hapo sawa. Kesho no yeye atakusave.
castle milk stout perhaps…larger ni bitter
Kwa ka local na ka popov
35°South…No whiskey today…
Loool…kwa kibuyu jameni? @roots is this the South African Beer? Debating on whether to ‘wine’ or just chillax na hot chocolate.
gibleys on the rocks