Walevi waweke stamp uko wapi na unakunywa Nini?
Tuliacha fombe kiyana
Tunakunywa supu kwa base ya mutura…baridi mob
Nasip gk mdogo mdogo hapa local
Lemmie ask a quick question…do folk drink on a Thursday?
@Mrs Shosho Im also wondering the same thing