ULEVI SACCO

Wadau Weka stamp uko wapi na unakunywa Nini?

[ATTACH=full]246753[/ATTACH]
clasified locashen

Hehe you nearly trapped @Starscream

[ATTACH=full]246755[/ATTACH]

Hii ni maziwa:D

mbili tu grease ya magoti inamelt
and its just 100 per bottle

Hii naeza pata wapi hapa nai?

huwes
sababu haiwes fika juu ya kulipuka
https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/hadithi-hadithi-fresh-ya-shamba-na-mnazi.32170/

Here at Kickforlife Maseru Lesotho. Arrived yesterday. Siwezi piga mbica, nitaonekana Mzee wa Ocha na nipo na Tswana slayqueen

But nowadays si kuna SGR?
If you make your timing right unaweza?

The problem of pombe ya mnazi unaamka asubuhi na smell kama chieth

security ya sgr ni hold tight, haiwezi pita

Imagine Niko sober Leo hakuna apetite

Nilikunywa mnazi nikangojeka no alcohol for the next one month

100 per bottle???/ wapi huko unaibiwo, kuja nikupeleke kilifi 30/= kwa mzinga. Kitethe unapata na bei ya kutupa

hii kitu while transported haifai kufungwa, imagine the smell inatoa kwa SGR balaa

nasija

Fote fae. Wamenya ng’ori, warigwo mbao
[ATTACH=full]246862[/ATTACH]

Hii pub iko haki kanjia ya kuelekea Progressive? Ile inatokea huko Kungsfam?

I don’t drink on Sunday