Ulevi Sacco

Walevi waweke stamp unakunywa Nini na uko wapi?
Mimi niko undisclosed rocation na kameshika
[ATTACH=full]269364[/ATTACH]

Ndio namesa ya pili. Ya kwanza ilikua baridi na nimeshinda kwa jua. Nmeimesa na masekunde. Anyway katambe
[ATTACH=full]269371[/ATTACH]

Kibao Vodka,
Am sure ill regret kesho buuut ferk it.

Tusker ni maji bana! Weka shots za vodka ishike.

Ilikuwa bado usiku and as kawaida lazima ku tick register kwa local then off for Mugithi where all rules must be broken. Ni Tusker na nusu ya smainyoff.

That’s the way