Walevi wale wanatoa lock weka stamp unakunywa nini na uko wapi?
Tuliacha pombe na kuokoka. We have better things to do with money
Last niliguza tei ,ilikua 31st.
[ATTACH=full]282653[/ATTACH]
Pombe na January hazielewani. Mimi naresume 14th Feb
Clever drinker I think for the next 3 weeks from now hatufai kukunywa if you know you know