Ulevi Sacco

Walevi wale wameanza tei, weka stamp uko wapi na unakunywa Nini?
Mimi Niko undisclosed lokshen
[ATTACH=full]299053[/ATTACH]

Liver yako itafanana na kichungi in 10 years…if you are lucky. You don’t want to know what will happen if you are not lucky. Anyway…YOLO. Ama niaje bonobo…

Meffi wewe. Ghaseer Tucker tucker kiiihiii

Huogopi kushikwa na kupelekwa quarantine? Alafu hiyo sumu unakunywa itakuua haraka sana.

Hii picha ni ya kitambo Sana awache kudanganya raia