Watu waweke stamp wana kunywa nini na wako wapi?
Kaa kimya na legend yako boss. Sisi tunapepea
Phombe sio maji, hebu cheki huyu
[ATTACH=full]68424[/ATTACH] [ATTACH=full]68425[/ATTACH]
When he sees this pics he will nefa trink again
[ATTACH=full]68428[/ATTACH]
hapa unaeza kosa kupigana kweli?
Sema buda, hii kitu iko na mafollowers kadhaa Sikh hizi
Huyu si slum birrionare wa ruaka @Meria Mata
Watu wa uthiru kujeni chicken haven, baadaye mugithi Texas
Mafans wa makali hawananga loyalty! Imetoa chrome top seat.
Noma sana[ATTACH=full]68434[/ATTACH]
Hii ni ya Ksh 650…peasants whiskey. Ni sawa tu yote mtakojoa
Leo niko somber,kuchill tu
Haha vile nilirudu zoezi nikua mpole
Ata wakikojoa, wanakojoa kama wamefurahi:):)
Wanawake munasumbua sana. Give peasants a break yawah!
Umejuaje ni 650 kama we siyo member, kujidai na ukiwa dryspell offer yako hushuka 3 kwa mia
Kaka Niko, hii kitu iko chonjo mbaya
Nakunywa ndubia kwa matha. Tei baadaye.
niaje FP
Poa bilawaru
Kaka,Naskia huu mvinyo uko na threshold mbaya ukiwai nyati.:D:D