Ulevi sacco

Ndio nimefika mwambao. Kwanza naenda kustaftahi, kisha nikajivinjari kwenye uvuo wa bahari hindi, usiku ndio tunapaka mji wa nyali rangi nyekundu.

[ATTACH=full]132176[/ATTACH]

wewe na kiswahili hampatani

:eek:Uvuo ni wapi bana?
Kama swahili imekulemea tumia native language, someone will translate

Wachana na Nyali. Teremka mpaka Bamburi Samba which is the new CasaB. Thank me later ukirudi na kunishikia Konyagi.

Picha haiload bana

yeah iporn hukuwa na hio shida sana

Kuna Samba mbili. Mpe the exact one msito.

jaluo na oswahili hawajawai patana

Yeah shots… Samba skylounge Ziko fyam… Lakini okiya ni mbirrionare aanweza enda kojoa afew thousands pale moonshine bar at the beach. Na amalizie na the lounge.

bean eater there’s only one mbirriorare, the one & only @rollout. Kesho kuja DOD ukunywe whiskey ya mzito okiya.

captain, sikuizi huchukui simu za msito okiya? Anyway iyo samba nimeipata finally lakini slay Q tukonayo ameingia akasema hakunywi uko. Tumeamua kutulia Mios.

mkuu kwani leo umekunywa mkojo wa punda? hueleweki bana, pia ol G aje ama?

Meffii niko mios Pia… .toa shati nikuone

[ATTACH=full]132295[/ATTACH]

Pole mzito threshold ziliniweza jana.