Ulevi Sacco

Watu waweke stamp unakunywa nini na uko wapi?

Kwanza weka pole zako za kijinga alafu uendelee.

[ATTACH=full]154682[/ATTACH]

Midwest Mwiki naangalia game ya hizi ng’ombe za Mourinho.

Pride inn hotel raphta road.

Kama kawa kalocal na Popov…lazima tuheshimu budget. Poll ya Leo uweke mbili cz Jana ulituangusha

Been a while since I had a house bash!..

Wacha katambe leo.
I’m going White , hii bash ni special for me and my new jungu girlfriend!
I’m off the Market, nimetii!..

I’m going White!

[ATTACH=full]154683[/ATTACH]

One for the road as I head home

[ATTACH=full]154687[/ATTACH]

Watu wa Pilsner tunacomment wapi? Hapa naona ni birrionea’s edishen

@uwesmake leta mbisha ya gilbeys. Naona mabirrioneas wanakunywa imported vodka

Budweiser! Cuzo hunisumbua ati niitafute… Ukiona stranger kwa locals yako([SIZE=3]ambayo sijajua bado[/SIZE]) ujue ni mimi.

Ng’ombe! Hiyo ni pili nakunywa.

[ATTACH=full]154688[/ATTACH]
Almost there. Kwa mancave watching Roman J Israel esq.

You are welcome, will send you coordinates

Inakaa wewe ni mteja wa Tribeka, Mojos na Fahrenheit kama mimi

Umeset standard. Nitatafutiwa ya signature

Ndio nimeland team tuborg leo

Niaje peasant :smiley:

Na nyonya smanoff, undisclosed lokeshen.

21:43 Indoors with Sir Arthur Guiness.