Ulizaliwa USHINDE...

Kuna wakati utakutana na kila dalili inayoonesha kuwa unatakiwa kukata tamaa; Huu ndiyo ule wakati unajiuliza hivi “niendelee ama niache?”

Ukifika kwenye hali hii inabidi ujilazimishe kujiambia kuwa: “Nakataa kukata tamaa”

Usiruhusu hisia za kushindwa zikufanye uanze kupoteza matumaini ya kule unakoelekea. Kumbuka kila lengo kubwa huwa lazima likutane na changamoto kubwa kabla halijafanikiwa. Siku zote Kumbuka washindi huwa wachache, kwa sababu watu wengi hukata tamaa mapema.

Ulizaliwa USHINDE na siyo USHINDWE…

Ahaante sana kwa ujumbe huu kuntu.

Mtumishi Shukrani kwa maneno mazuri

Bless

barikiwa saana mheshimiwa.hakika kuna kitu nimekipata hapa.

apa najiona kabisa nshakata tamaa ila ngoja nisonge mbele kama yule kadhi alivyo rudi rudi kwa mfalme mpk akapata anachotaka

shukran mkuu

shukran mkuu

Kukata tamaa ni dhambi kubwa

Hata mimi ni mshindi,nitashinda in Jesus name…

Asante sana mkuu…barikiwa sana.

Kama unanizungumzia mimi vile…ila nitashinda kwa kuwa nina YESU

Kweli kabisa…

Cc: @Mahondaw

Asante mkuu